Hispania
.
Nyota wa Real Madrid, Christiano Ronaldo amemsifu Lionel Messi kutokana na kiwango chake, huku akisema anavutiwa zaidi kumtazama kwenye runinga Barcelona inapokuwa uwanjani.
Wachezaji hao wawili ni miongoni mwa wanaotajwa kunyakua tuzo ya mchezaji bora wa dunia msimu huu ya Ballon d’Or.
Hata hivyo, Ronaldo yupo hatua moja mbele kuikaribia tuzo hiyo iwapo klabu yake itatwaa taji la Ligi ya Mabingwa mchezo utakaopigwa Jumamosi wakikutana na Juventus
0 comments :
Post a Comment