News
Loading...

KWELI DUNIA HAINA HURUMA: HEBU ANGALIA JUVENTUS WANAVYORUDI KWAO ALAFU ANGALIA MADRID NAO HALI ILIVYOKUA..




Real Madrid sasa ina makombe 12 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya huku mchezaji wake Cristiano Ronaldo akiwa amefikisha manne.

Ronaldo, wachezaji wa Madrid, benchi la ufundi linaloongozwa na Zinedine Zidane, usiku wa kuamkia leo wamekutana kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu jijini Madrid na kufanya sherehe kubwa ya kufurahia ubingwa huo.


Kila upande umekuwa na furaha hasa baada ya ubingwa huo ambao ulionekana ni mgumu kwao.







Baada ya kupoteza kwa kufungwa kwa mabao 4-1 dhidi ya Real Madrid katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Juventus wamerejea nyumbani Italia.

Pamoja na kuukosa ubingwa, mashabiki walionekana kuwapongeza wakiwapungia mkono kuonyesha bado wanawapa heshima kubwa.










Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment