News
Loading...

MAN UNITED YAAMBULIA SULUHU ANGALIA PICHA 25 NA VIDEO ZA MECHI HIO

                                   zlatan aki isawazishia Man United


Klabu ya Machester United ya England November 27 2016 imecheza dhidi ya West Ham United katika uwanja wake wa Old Trafford na kulazimishwa sare ya kufungana goli 1-1.
3acd9f0e00000578-0-image-a-128_1480266048325
West Ham United ndio walikuwa wa kwanza kupata goli dakika ya 2 kupitia kwa Diafra Sakho, lakini Zlatan Ibrahimovic aliisawazishia Man United goli dakika ya 21 ya mchezo.
Hata hivyo mchezo huo uliyomalizika kwa sare ya goli 1-1, umemalizika kwa kocha wa Man United Jose Mourinho kutolewa katika benchi na kwenda jukwaani kutokana na kupiga chupa ya maji kwa hasira, huku Paul Pogba akioneshwa kadi ya tano ya njano itakayomfanya akose mchezo ujao.
bonyeza hapa upate picha nyingi na video ya mechi hii picha 25
























Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment