LIVERPOOL YALAMBISHWA MIGUU YA MEZA JIONI KABISA 4-3
Mshambuliaji wa Liverpool, Sadio Mane akimlamba chenga kipa wa AFC Bournemouth, Artur Boruc kuwafungia bao la kwanza Wekundu hao wakilala 4-3 Uwanja wa Vitality leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Divock Origi na Emre Can wakati ya wenyeji yalifungwa na Callum Wilson kwa penalti, Ryan Fraser, Steve Cook
0 comments :
Post a Comment