News
Loading...

HAWA SASA NI WAFALME WA DUNIA, UJERUMANI WACHUKUA TENA UBINGWA WA VIJANA ULAYA

KIKOSI CHA TIMU YA VIJANA YA UJERUMANI CHINI YA MIAKA 19 KIKISHEREKEA UBINGWA WA ULAYA BAADA YA KUICHAPA URENO KWA BAO 1-0 HUKO BUDAPEST, HUNGRY.
SOMA ZAIDI


NAHODHA WA TIMU KUBWA AKIWA PHILIP RAHM AKIINUA KOMBE BAADA YA KUITWANGA  ARGENTINA KWA BAO 1-0.

NAHODHA WA VIJANA CHINI YA MIAKA 19 WA UJERUMANI AKIWA AMEINUA KOMBE LA UBINGWA BAADA YA KUIFUNGA URENO KWA BAO 1-0.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment