Mustafi alitoka dakika ya 25 baada ya kupata maumivu ambayo kitaalamu yanaitwa
hamstring injury habari iliyotoka jana inasema mchezaji huyo atakua nje ya uwanja kwa wiki 3 hadi mwezi mmoja kwenye mechi hio timu ya Arsenal iliendelea kufukuza mwizi kimya kimya baada ya kuipiga miguu ya bajaji 3-1 timu ya Stoke city na kukaa kileleni mwa ligi
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment