News
Loading...

MCHEZAJI WA LEICESTER CITY APATA AJALI MBAYA !! aliharibu vibaya Lamborghini yake yenye thamani zaidi ya Tsh milioni 500

Kiungo wa Leicester City ya England Jeffrey Schlupp jina lake limeingia kwenye headlines baada ya taarifa za kupata ajali akiwa katika gari lake kuanza kuenea katika mitandao mbalimbali England.
Jeffrey Schlupp amepata ajali kwa kugonga mti akiwa ndani ya gari yake aina ya Lamborghini ambayo ina thamani ya pound 190,000 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 500 za kitanzania, beki huyo amepata ajali lakini yupo salama.
Jeffrey Schlupp
Kiungo huyo wa Ghana mwenye umri wa miaka 23 alipata ajali akiwa na gari lake aina ya Lamborghini, baada ya kuacha njia na kugonga mti wakati anaelekea mazoezini, Jeffrey Schlupp analipwa mshahara wa pound 30,000 kwa wiki.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment