PICHA 35!! FELLA ACHOMA NA KUISABABISHIA MAN UNTED SARE YA 1-1
Kiungo wa Manchester United, Marouane Fellaini akimchezea rafu Idrissa Gueye wa Everton dakika mbili tu baada ya kuingia akitokea benchi na kusababisha penalti ambayo ilikwenda kufungwa na Leighton Baines kuwapatia The Toffees bao la kusawazisha dakika ya 89, baada ya Zlatan Ibrahimovic kuanza kuwafungia Mashetani Wekundu dakika ya 42
0 comments :
Post a Comment