Mamia
ya watu maarufu nchini England wanahofiwa wataingia kwenye wakati mgumu
hats kufilisika baada ya ‘TRA’ ya Uingereza kuamua walipe kodi baada ya
kugundua kulikuwa na ukwepaji mkubwa katika mambo mengi ya uwekezaji
katika soka, hats filamu.
Kocha
wa zamani wa Manchester United, Alex Ferguson na yule wa zamani wa timu
ya taiga ya England, Sven Goran Eriksson wanaelezwa kuwa kwenye listi
ya watu 780 iliyotolewa na Bwana Kodi.
Kwamba
imepitiwa zaidi ya makampuni 39 ya wawekezaji yalihusika na ukwepaji
huo wa kodi ndani ya England na Ferguson anakuwa mwekezaji kutoka
Scotland, Eriksson ni raia wa Sweden.
Inaelezwa
ukwepaji huo wa kodi umefikia hadi pauni billion 2.2 na inawezekana
wake catalpa hadj mara 10 ya mile walichotakiwa kulipa mwanzo, hali
inayoonyesha wake katika hatari ya kufilisika.
Tayari kuna ambao zoezi hilo limeanza kuwakumba na wako ambao tayari wako matumbo joto.
Serikali za nchi za Ulaya, huwa hazitaki mchezo kuhusiana na suala la kodi na hasa kwa wale wakwepaji
0 comments :
Post a Comment