News
Loading...

PSG YACHOMOA ARSENAL IKITAFUTA KUKAA JUU YA KUNDI UEFA CHAMPION






















Alexis Sanchez akikimbia kushangilia baada ya kiungo wa PSG, Marco 
Verratti kujifungia kuipatia bao la pili Arsenal dakika ya 60 lililoelekea kuwa la ushindi kabla ya PSG kusawazisha na mchezo huo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Playa kumalizika kea are ya 2-2 Uwanja wa Emirates. Bao lingine la Arsenal lilifungwa na Olivier Giroud dakika ya 45, wakati ya PSG yalifungwa na Edinson Cavani dakika ya 18 na Alex Iwobi dakika ya 77 aliyejifunga pia. Kwa matokeo hayo, Arsenal na PSG zote zimesonga mbele kutoka kundi hilo














Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment