Kiungo wa Hispania David Silva (kulia) akiushuhudia mpira alioupiga ukielekea
nyavuni dakika ya 45 na usher kuipatia Manchester City bao la kusawazisha katika sare ya 1-1 na wenyeji, Borussia Monchengladbach Uwanja wa Borussia-Park mjini Monchengladbach katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao la wenyeji lilifungwa na Raffael dakika ya 23
0 comments :
Post a Comment