ATLETICO MADRID 2-0 PSV USIKU WA MABINGWA WA ULAYA
Antoine Griezmann akipongezwa baada ya kuifungia bao la pili Atletico Madrid katika ushindi wa 2-0 dhidi ya PSV Eindhoven kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Vicente Calderon mini Madrid haiku wa jana. Bao lingine la Atletico ambayo inaungana na Bayern Munich kusonga mbele kutoka kundi hilo lilifungwa na Kevin Gameiro
0 comments :
Post a Comment