News
Loading...

TIOTE AANGUKA GHAFLA AFARIKI DUNIA, NI YULE KIUNGO WA IVORY COAST, NEWCASTLE ZAMANI


Kiungo wa zamani wa Newcastle, Cheick Tiote ameanguka ghafla na kupoteza maisha akiwa mazoezini.

Tiote amepoteza maisha akiwa na umri wa miaka 30, alikuwa mazoezini katika kikosi cha Beijing Enterprises kinachoshiriki ligi daraja la pili.
Kiungo huyo raia wa Ivory Coast amejiunga na timu hiyo miezi mine tu iliyopita.

Alikimbizwa hospital zikiwa ni juhudi za kuokoa maisha yake lakini haikuwezekana.

Tiote amewahi kuwa kiungo tegemeo wa timu ya taifa ya Ivory Coast iliyokuwa inaongozwa na Didier Drogba.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment