Faridi Miraji , Dar es salaam.
Beki wa kushoto wa timu ya Mbao Fc Jamal Mwambeleko amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia Simba Sc , Mwambeleko ambaye ana uwezo hata kucheza winger ya kushoto amesaini Kwa dau linalokadiliwa kufika Milioni 30.
0 comments :
Post a Comment