News
Loading...

TETESI USAJILI!! ARSENAL NA PAYET MPAKA SASA UHAKIKA NI..........



ARSENAL watajaribu kumsajiri Dimitri Payet katika dirisha dogo la Januari wakati timu yake ya Westham ikiendelea kupigania kuepuka kushuka daraja mkiani mwa Ligi Kuu ya England 
habari hii kutoka chanzo cha kuaminika kinasema Arsenal wanataka kumsajil Payet ili wawe na kikosi kipana cha ubingwa na wachezaji ambao wana uwezo wa kuamua mechi ukizingatia kua kwa sasa timu hiyo imeshashika moto na inapata matokeo  ya kuridhisha na imeachwa nyuma kwa point 3 tu na kinara anaeongoza ligi
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment