News
Loading...

VIDEO!! DEREVA ALIEACHA STERING YA GARI NA KUCHEZA NGOMA YA DARASA HUKU GARI IKIWA 120 AKAMATWA MIDA HII NA KESHO MAHAKAMANI

Yule Dereva aliyepagawa na nyimbo Mpya ya Darasa na kisha kuacha kuendesha Gari na kisha kuanza kucheza mziki huo huku gari hilo likiwa kwenye mwendo akamatwa na Polisi..
Hawa ndio wahusika walio kuwepo kwenye tukio hilo..
Dereva huyo ambaye ameonekana kwenye video akiwa anaendesha gari aina ya Coster ambayo inafanya safari zake Dodoma kwenda itigi akiwa anafanya kitendo cha hatari cha kuacha gari likiwa kwenye mwendo na kisha yeye kusimama na kuanza kucheza muziki huo akamatwa na Polisi na kesho atapandishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazo mkabili yeye pamoja na wenzake ambao alikuwa nao kwenye Gari hilo

KAMA ULIKUA HUJAIONA HII VIDEO  HI HAPA

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment