News
Loading...

TORINO YAMWAMBIA WENGER AWEKE MEZANI PAUNI MIL 80 ILI AMCHUKUE.....

wenger

ARSENAL ya Arsene Wenger watatakiwa kuweka pembeni ubahili wao ikiwa watataka kumnasa staa wa Torino, Andrea Belotti. Rais wa Torino amesema watakuwa tayari kumwachia Belotti ikiwa Gunners wataweka mezani pauni mil 80 na si vinginevyo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment