BINGWA wa Ligi Kuu Italia seria A, Juventus wanaitaka saini ya kiungo hatari Julian Draxler. Nyota huyo wa Wolfsburg ameonyesha kuchoka mazingira ya Ujerumani na hivi karibuni alitamka wazi kuwa yuko tayari kusikiliza ofa mbalimbali.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment