News
Loading...

PSG YAIWEKEA KAUZIBE MAN UNITED

NOMA

HABARI zilizovuja zimesema huenda Manchester United wakaishia kumtolea macho tu staa wa PSG, Marquimhos. Marquimhos anataka kuongeza mkataba mpya wa miaka miwili pale PSG na kama itakuwa hivyo, atakuwa amefuta uwezekano wa kutua Old Trafford.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment