News
Loading...

LIVERPOOL YAMFUNGIA KAZI DOGO WA AJABU MWENYE MIAKA 13



DOGO
LIVERPOOL wamepania kumsajili kinda mwenye umri wa miaka 13, Hannibal Mejbri ambaye anawaniwa na klabu kadhaa za England. Kocha Jurgen Klopp anamkubali mno Mejbri anayechezea Paris FC ambaye ameshasaini mkataba na kampuni ya Adidas.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment