MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu England, Leicester City wanavutiwa na kinda wa kimataifa wa Nigeria Wilfred Ndindi. Ndindi mwenye umri wa miaka 19 anakipiga Genk ya Ubelgiji na tathmini yake inatajwa kuwa pauni mil 16.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment