News
Loading...

LIVER POOL ASIKWAMBIE MTU NI MOTO!! YAWAPASUA SUNDERLAND 2-0

LIVER POOL

LIVERPOOL moto chini!! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kuikalisha Sunderland 2-0 kwenye mchezo wa Premier League uliochezwa Anfield. Waliopeleka kicheko kwa kocha  Jurgen Klopp ni Divock Origi aliyefunga bao la kwanza dakika ya 75 na James Milner akahitimisha ushindi kwa goli la dakika ya 90 kupitia mkwaju wa penalti. 

  LIVERPOOL (4-3-3): Karius 6; Clyne 6, Matip 6.5, Lovren 6.5, Milner 6, Wijnaldum 6.5 (Woodburn, 90), Henderson 5.5, Can 6, Coutinho 6.5 (Origi), Firmino 7 (Leiva), Mane 6 

SUNDERLAND (4-3-3): Pickford 7.5; Jones 6, Kone 7, Van Aanholt 6, O'Shea 6.5, Ndong 6.5, Denayer 6.5, Pienaar 6 (Gooch), Anichebe 6, Watmore 6 (Januzaj), Defoe 6
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment