TAARIFA zilizopo ni kwamba wakali wa serie A, Inter Milan wamepanga kutumia pauni mil 50 kuhakikisha wanamnasa kocha Diego Simeone. Mkataba wa kocha huyo na Atletico Madrid unafikia tamati mwishoni mwa mwaka 2018.
INTER MILAN YAWEKA PAUNI MIL50 KUHAKIKISHA INAMNASA DIEGO SIMEONE
TAARIFA zilizopo ni kwamba wakali wa serie A, Inter Milan wamepanga kutumia pauni mil 50 kuhakikisha wanamnasa kocha Diego Simeone. Mkataba wa kocha huyo na Atletico Madrid unafikia tamati mwishoni mwa mwaka 2018.
0 comments :
Post a Comment