Haya yamejidhihirisha masaa machache yaliyopita kupitia kurasa zao za mtandao wa Instagram baada ya Diamond Platnumz picha kutoka katika Video ya wimbo mpya wa Rich Mavoko unaoitwa Kokoro na kuandika maneno ambayo yametafsiriwa kama ni dongo kwenda kwa Ommy Dimpoz
Kama ilivyotafiriwa na wengi kuwa hilo ni dongo kwa Ommy Dimpoz, Dimpoz hakukaa kimya alijibu kwa kuweka video akiwa na swahiba wake wa sasa Ali kiba na kushusha ujumbe mzito.
Ikumbukwe pia Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz wamekataa mara nyingi kuwa hawana bifu lakini kwa hili la leo… The beef is ON.
0 comments :
Post a Comment