Kipa
Pepe Reina aliyetua Bayern Munich amewaandikia barua mashabiki wa
Liverpool kuwaambia kuhusiana na kuondoka kwake, pia amewashukuru kwa
kipindi walichofanya kazi pamoja.
Amewaeleza
kote walikopita na sasa anaamini ulikuwa umefikia wakati wa kuondoka.
Pia kawaeleza mengi na zaidi ni shukurani nyingi na namna maisha yake
yalivyokuwa kwenye mji wa Liverpool akiwa pamoja na klabu hiyo.
0 comments :
Post a Comment