News
Loading...

WACHAMBUZI WAMSHUKIA MOURINHO, WAMBUAMBIA KWA KIKOSI HIKI, HANA KISINGIZIO


Wachambuzi mbalimbali wa masuala ya soka wa nchini England wamemshukia Kocha wa Chelsea Jose Mourinho  na kumuambia kwa kikosi alichonacho sasa, suala la ubingwa halitakuwa na mjadala kwake.
Wachambuzi hao kama Jammie Redknapp, Jammie Carragher na wengine wamesema Mourionho ana kikosi imara zaidi.
Wamesisitiza iwapo atakosa ubingwa, hatakuwa na sababu hata chembe ya kulalama au kusema ilichangia yeye kutotwaa ubingwa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment