News
Loading...

MKENYA ORIGI ATUA LIVERPOOL KUMALIZANA NAO




Mbelgiji Divock Origi ametua kwenye makao makuu ya klabu ya Liverpool, leo kwa ajili ya kukamilisha masuala ya usajili.
Liverpool iko tayari kutoa kitita cha pauni milioni 30 kuwanasa Origi na winga wa Benfica, Lazar Markovic.
Taarifa zimesema wawili hao watakuwa na shughuli ya vipimo kesho na kama mambo yakienda sawa watamwaga wino kukipiga Anfield.
PICHA IKIMUONYESHA ORIGI ALIVYOTUA LEO NDANI YA LIVERPOOL

Imeelezwa Liverpool itatoa pauni milioni 19.8 kwa ajili ya uhamisho wa Markovic na pauni milioni 10 zitalipwa kwa Lille ya Ufaransa anayokipiga Origi.
Origi alionyesha uwezo mkubwa kwenye michuano ya Kombe la Dunia na timu yake iling’olewa na Argentina katika hatua ya robo
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment