News
Loading...

TORESS :ATLETICO IKITOKA KIFUNGONI TU ANASEPA ZAKE CLUB YA.......

Mexico. Mchezaji wa Atletico Madrid, Fernando Torres amekwama kuondoka  klabuni  hapo kutokana na timu hiyo kutumikia adhabu ya kutosajili kwa msimu mwingine.
Hata hivyo, ilielezwa kwamba bado Torres ana mpango wa kutimka kwenda klabu ya Mexico Ya Cruz Azul msimu ujao wa kiangazi.
Mchezaji huyo amecheza timu nne za La Liga kati ya miaka sita aliyokuwapo kwenye Ligi hiyo ya Hispania.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment