Baada ya Jana kuisaidia timu yake ya Real Madrid kubeba kombe la Uefa Champions league Kwa kufunga mabao mawili, hatimaye Christian Ronaldo amefikisha Jumla ya mabao mia sita aliyoyafunga kwenye timu nne (4) Sporting Lisbon mabao matano (5) Manchester United mabao mia moja kumi na nane (118), Real Madrid mia nne na sita (406) na timu ya taifa mabao sabini na moja (71)
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment