Arsenal imetolewa kwenye mashindano hayo baada ya kukubali kichapo nyumbani cha mabao 2-0 toka kwa Southampton.
Michezo ya nusu fainali itachezwa Januari 9 ambapo United itawakaribisha Hull City huku Southampton ikimenyana na Liverpool. Mechi za marudio zitapigwa Januari 23.
0 comments :
Post a Comment