![]() |
Tshabalala wakati anasaini mkataba wa kwanza wa kujiunga na Simba mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu hiyo, Zacharia Hans Poppe (kulia) |
Tshabalala alisaini Simba SC Juni mwaka 2014 akitokea Kagera Sugar ya Misenyi mkoani Kagera, ambayo nayo ilimtoa Azam FC.
Aliyefanikisha usajili wake kwa mara ya kwanza ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe aliyekigundua kipaji hicho.

0 comments :
Post a Comment