Giroud ni kama nabii asiekubalika kwao japo hua anafunga magoli muhimu sana kwa timu ya Arsenal na kwa timu ya Taifa lakini mchezaji huyu amekua na bahati mbaya ya kutopendwa na baadhi ya mashabiki hasa wasiojua soka kiundani magoli ya Giroud mara zote yamekua muhimu sana kwa timu anazochezea vikozi vya timu zote jana vilikua kama ifuatavyo
Manchester United
De Gea, Valencia, Jones, Rojo, Darmian, Carrick, Ander Herrera, Mata, Pogba, Martial, Rashford
Unused subs: Depay, Rooney, Lingard, Blind, Young, Romero, Schneiderlin
Goals: Mata (68)
Bookings: Darmian
Arsenal:
Cech, Jenkinson, Mustafi, Koscielny, Monreal, Coquelin, Elneny, Walcott, Ozil, Ramsey, Sanchez
Unused subs: Gibbs, Gabriel, Giroud, Ospina, Oxlade-Chamberlain, Iwobi, Xhaka
Goals: Giroud
Bookings: Sanchez
Referee: Andre Marriner
0 comments :
Post a Comment