News
Loading...

MECHI LIVE 45 DK HALF TIME 0-0

mpaka sasa mpira ni 0-0  na mpira unaonekana ni mkali na kila mmoja anataka  kushinda lakini mpira unaonekana timu zote zimeingia na presha  sana mpaka kuondoa ladha ya mpira kwa pande zote  kipindi cha pili ndio kinakwenda kuanza  mpira ukiisha tutakwenda kuwapa kwa kirefu hali halisi ilivyokua
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment