Mechi ya Kombe la Emirates, kwenye Uwanja wa Emirates jijini London na Arsenal imeshinda kwa mabao 5-1 dhidi ya Benfica .soma zaidi Yaya Sanogo ametupia mabao manne na mwenzake Campbell amepiga moja, dah! Kikosi cha Asenal kilichoanza hadi mapumziko: Martinez, Bellerin,
Chambers, Monreal, Gibbs, Flamini, Campbell, Ramsey, Rosicky, Ox, Sanogo
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment