BALE AKIFUNGA BAO
LA MADRID, LAKINI BAADAYE INTER MILAN WAKASAWAZISHA KATIKA MECHI HIYO
YA MICHUANO YA INTERNATIONAL. MWISHO ZIKAPIGWA PENALTI NA INTER
IKASHINDA KWA MABAO 3-2.
SASA INTER MILAN ITACHEZA NA MANCHESTER UNITED WAKATI MADRID INAKUTANA NA ROMA KATIKA MICHUANO HIYO INAOENDELEA NCHINI MAREKANI.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment