MSHAMBULIAJI MPYA
WA BARCELONA, LUIS SUAREZ AMEJIKUTA KATIKA WAKATI MGUMU BAADA YA
MASHABIKI WA BARCELONA KUMVAMIA AKIWA MTAANI NA MKEWE WAKITAKA KUPIGA
NAYE PICHA, ASAINI KWENYE KARATASI NA JEZI ZAO.
HALI
ILIKUWA NGUMU ZAIDI BAADA YA DADA MMOJA KUMZUIA KABISA SUAREZ AMBAYE
BAADAYE ALISAINI KWENYE JEZI YA LIONEL MESSI ALIYOKUWA AMEVAA MMOJA WA
MASHABIKI HAO.
FIFA IMEZUIA BARCELONA KUMTANGAZA SUAREZ KUTOKANA NA
ADHABU ANAYOITUMIKIA YA KUMUUMA GIORGIO CHIELLINI WAKATI WA MICHUANO YA
KOMBE LA DUNIA.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment