familia ya wapenda michezo Duniani imepatwa na msiba mzito baada ya golikipa wa timu ya Taifa ya Palestina U17 Ahmed Abu Sida aliye uwawa na mashambulizi ya Israel kwa kweli kitendo hicho kimezidi kuionyesha Dunia kua kinachofanyika huko kwa kweli ni kitendo cha uvunjifu wa haki na wanaouawa ni raia wasio kua na kosa lolote Blog yetu ya Mwana sport leo tunamuombea mwenyezi MUNGU aiweke roho ya Ahmed Abu Sida mahala pema peponi
Home
/
Sport kimataifa
/
HEBU ANGALIA GOLIKIPA WA TIMU YA TAIFA WA PALESTINA ALIVYO SAMBARATISHWA NA MABOMU YA WA ISRAEL
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment