MSHAMBULIAJI
DEMBA BA AMETUA BESIKTAS YA UTURUKI NA KUKABIDHIWA JEZI NAMBA TISA. BA
RAIA WA SENEGAL AMEKABIDHIWA JEZI NAMBA 9 AMBAYO ATAKUWA ANATUMIKIA. TIMU
HIYO WAPINZANI WA GALATASARAY WAMELAZIMIKA KUTOA KITITA CHA PAUNI
MILIONI 8 KUMNASA MSENEGALI HUYO KUTOKA KATIKA MIKONO YA JOSE MOURINHO.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment