News
Loading...

BARCELONA YAKATIZIWA MBELE KWA MESSI TIMU YAWEKA EURO MILIONI 100 ILI ASI SAINI MKATABA NA BARCA



Wakati mkataba wa nyota Lionel Messi unatarajia kufikia mwisho mwaka 2018, kuna klabu ambayo imetoa ofa ya day la usajili la euro million 100 litamlipa mshambuliaji huyo.

Sharti ambalo klabu hiyo imetoa ni Messi kutosaini mkataba mpya na Barcelona na badala yake imeweka mezani fedha hizo ambazo itamlipa Messi.

Gazeti la El Mundo la Hispania ndiyo limeandika habari hiyo lakini halijaeleza klabu hiyo ni ipi.

Tayari kulikuwa na taarifa kwamba Barcelona inataka kumuongezea Messi mkataba mpya, lakini inaonekana klabu nyingine zinataka Messi aondoke Barcelona nazo zip ate huduma yake.



Hata hivyo kwa wachunguzi wa mambo, inaonekana ni vigumu sana kwa Messi kuondoka Barcelona kwa kuwa maisha yake yamekuwa ndani ya klabu hiyo tokea akiwa na miaka 13 alipotoka kwao Argentika akiongozana na baba yake mzazi, Jorge Messi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments :

Post a Comment